Tag: habari magazetini
Tanzania iko mbioni kuanza ujenzi wa Kituo cha Teknolojia ya Madini Mkakati utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 40
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wakati wa kikao na mazungumzo na Ujumbe maalum wa wataalamu sita wa madini kutoka Korea Ku [...]
Mikopo 193 yafungua milango ya ajira 820 kwa vijana
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) imetoa mikopo 193 yenye thamani ya zaidi ya Shili [...]
Bima ya Afya kwa Wote shilingi 150,000 kwa kaya na wasio na uwezo kugharamiwa na Serikali
Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote awamu ya kwanza kwa kundi la wananchi wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito [...]
Safari treni ya Tazara kurejea mwezi Februari 10
Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) limetangaza kurejea kwa safari za treni za abiria kutoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi nchini Zam [...]
Zaidi ya shilingi bilioni 280 kutumika kuimarisha upatikanaji wa umeme Dar
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kuboresha miundombinu ya umeme nchini kwa len [...]

Tanzania yavutia uwekezaji wa shilingi trilioni 26.95 kwa mwaka 2025
Tanzania imeendelea kujijenga kama kitovu cha uwekezaji barani Afrika, jambo linalodhihirishwa na kuvutia uwekezaji wa nje wenye thamani ya TZS trilio [...]
Bima ya Afya kwa Wote Mambo Safi
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuzinduliwa Januari mwakani.
Aidha, Dk. Mwigulu, amezitaka hospitali z [...]
Tusitoke kwenye mstari, Tanzania inapaa kimaendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan Ameandika Historia Mpya ya Maendeleo, tumuunge mkono
Na GULATONE MASIGA
Tanzania imethibitisha kwamba inapoongozwa kwa [...]
Tathmini ya tamko la Kamati Kuu ya Baraza Kuu la Chadema Taifa kuhusu uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,2025
√ Ukweli, Upotoshaji na Uhalisia wa Mambo
Na GULATONE MASIGA
Katika siku za karibuni, Kamati Kuu ya Baraza Kuu la CHADEMA ilitoa tamko kuhusu uc [...]
Uwekezaji wa Rais Samia wazaa matunda: Meli ya makontena 463 yatua Tanga kwa mara ya kwanza
Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza imeandika historia baada ya kupokea Meli ya MV PARNIA yenye Makontena 463 kutoka Iran.
Akiongea mara baada ya k [...]

