Tag: habari magazetini
Rais Samia kuifumua serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake, amebaini kuwepo kwa baadhi ya watu wasioendana na kasi yake.
Am [...]
Magazeti ya leo Desemba 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 9,2022.
[...]
Kicheko bei mpya za petroli na dizeli
Dar es Salaam. Huenda itakuwa kicheko na maumivu kwa watumiaji wa nishati ya mafuta baada ya kutolewa kwa bei mpya zinazoonyesha kupanda na kushuka kw [...]
Ofa ya Rais Samia yapaisha mapato Wizara ya Ardhi
Mapato ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi yameongezeka mara mbili kutokana na ofa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu kwa wananchi ya kuli [...]
Fahamu taratibu za uuzaji wa bidhaa za uvuvi China
China ni miongoni mwa masoko makubwa ulimwenguni yanayonunua bidhaa za uvuvi. Mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nch [...]
Wafariki wakidaka kumbikumbi
Watu wawili akiwamo mjamzito, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika Kata ya Mhembe wilayani Kigoma baada ya kugongwa na pikipiki wakati [...]
Rais Samia ataja kanuni za kuwa kiongozi bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ushauri kwa viongozi wa wanawake Afrika akitaja sifa ni kuwa msikivu, mw [...]
Sababu za Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Udaktari
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya juu ya udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutokana na mabadiliko makubw [...]
Matokeo zaidi ya 2,000 ya wanafunzi darasa la saba yafutwa, shule 24 zafungiwa
Wakati maelfu ya watahiniwa wa mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2022 wakiwa na furaha baada ya matokeo yao kutangazwa, wenzao 2,194 wapo katika maj [...]
Magazeti ya leo Desemba 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 1,2022.
[...]

