Tag: habari magazetini
Zaidi ya zahanati 1,000 zajengwa miaka minne ya Samia
Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021 hadi 2024/2025 jumla ya zahanati 1,158 zimejengwa na kusajiliwa na zinatoa huduma.
Naibu Waziri, Ofisi [...]
Serikali yawarejesha watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewarejesha salama nchini Watanzania 42 waliokuwa wakiishi Israel na Iran kufuatia mvutano wa kijeshi una [...]
Tanesco yakumbusha ulipaji wa madeni ya kabla na baada
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataka wateja wao kulipa madeni ya malipo ya kabla na baada ili kuboresha huduma ya umeme iweze kuwa na ufanis [...]
Shilingi ya Tanzania imekuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri duniani
Shilingi ya Tanzania imejitwalia hadhi ya kuwa moja ya sarafu zinazojipongeza kwa utendaji mzuri zaidi duniani katika miezi ya hivi karibuni, kutokana [...]
Serikali na Sekta Binafsi kuendesha mradi wa mabasi ya mwendokasi
Serikali imesema imesaini mikataba minne yenye thamani ya Sh bilioni 681.53 kwa ajili ya kuboresha huduma ya usafiri katika mradi wa mabasi yaendayo h [...]
Tanzania kuzisaidia nchi tisa masuala ya utabiri hali ya hewa
Kutokana na Mamlaka ya Hewa Tanzania (TMA) kuendelea kuhimili viwango vya utoaji huduma kimataifa, Tanzania kupitia TMA imepewa jukumu la kusaidia nch [...]
Zaidi ya shule 20,000 za msingi na 5,000 za sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika
Serikali imesema kuwa shule 5,311 za Sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika, huku pia shule 20,509 za msingi zina vyanzo vya maji ya uhakika.
K [...]
Hospitali ya Maweni yafanya upasuaji wa nyonga kwa mara ya kwanza
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji kwa mgonjwa mwenye tatizo la nyonga ikiwa ni siku ya tano ya kambi ya [...]
Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC
Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimata [...]
Ali Kamwe akutwa na hatia apigwa faini ya milioni 5, Ahmed Ali hana hatia
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza maamuzi ya Kamati ya Maadili kufuatia mashauri dhidi ya maofisa wa klabu za Simba SC na Yanga SC.
Kam [...]

