Tag: habari za burudani
Safari treni ya Tazara kurejea mwezi Februari 10
Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) limetangaza kurejea kwa safari za treni za abiria kutoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi nchini Zam [...]

Moshi mweusi watanda urais wa Mpina
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, ikisema haukufuat [...]
Polepole aondolewa hadhi ya ubalozi, uteuzi wake watenguliwa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole aliye [...]
Makampuni 16 ya Kitanzania yaidhinishwa kusafirisha parachichi China
Makampuni 16 ya Kitanzania yameidhinishwa rasmi na Mamlaka ya Forodha ya China — General Administration of Customs of China (GACC) — kusafirisha parac [...]
Kiwanda kikubwa zaidi cha kuzalisha mbolea Afrika Mashariki chazinduliwa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa kiwanda cha ITRACOM Fertilizers Ltd. tarehe 28 Juni 2025 [...]
Wanafunzi mikopo elimu ya juu kuongezeka
Idadi ya wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu itaongezeka kutoa 245,314 mwaka 2024/2025 hadi wanafunzi 252,773 mwaka 2025/2026.
Tarifa [...]

Rais Samia ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Fa [...]
Leseni maalum za uzalishaji chumvi mbioni kuanza
Serikali ipo mbioni kutambulisha leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi kwa lengo la kuiondoa bidhaa hito katika kundi la madini mengineyo.
Hayo yalis [...]

4R isiwe kisingizio kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutotumia falsafa ya 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Kujenga Upya) kama kisingizio cha kuvunja [...]
Panya wa Tanzania Ronin avunja rekodi ya Panya Magawa
Panya mkubwa wa kiafrika (Cricetomys ansorgei) mwenye jina la Ronin amepata sifa ya kugundua mabomu 109 ya ardhini na vipande 15 vya ziada vya risasi [...]

