Tag: habari za kimataifa
Kiongozi mkuu wa Hamas auawa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimes [...]
Rais Samia: Uchumi wetu ni himilivu
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea mafanikio makubwa ambayo Tanzania imeyapata katika kuimarisha uchumi na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji na [...]
Rais Samia awahimiza viongozi wateule kusimamia uhuru wa habari na maendeleo ya kidigitali
Dar es Salaam, Tanzania - Rais Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha viongozi wapya katika sherehe iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam. Akihutubia wakati [...]
Ruto atangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza orodha nyingine ya Mawaziri wapya 10. Kwenye Orodha hiyo, Ruto amechagua mpaka mawaziri kutoka vyama vya Upinza [...]
Ruto: Ford Foundation iache kufadhili vurugu Kenya
Rais wa Kenya, William Ruto, ameikosoa vikali taasisi ya Ford Foundation kwa madai ya kufadhili vurugu nchini humo. Akizungumza mbele ya umma, Ruto al [...]
Siku nne Katavi: Rais Samia aridhishwa na maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku nne mkoani Katavi akieleza kuridhishwa na maendeleo yaliyopatikana na matumizi bora ya fedha kut [...]
Tamko la Serikali kuhusu mauaji ya albino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 20 Juni 2024 ametoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino.
20.06.20 [...]
Serikali kuongeza pensheni kwa wastaafu
Serikali ya Tanzania imesema itaongeza malipo ya mkupuo ya kikokotoo cha pensheni ya wastaafu kutoka asilimia 33 iliopo sasa hadi asilimia 40 lengo li [...]
Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%
Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa imeonyesha ongezeko katika Pato Halisi la Taifa kwa kufika ashilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141 [...]
Rais Samia aanza ziara ya siku saba nchini Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku saba katika Jamhuri ya Korea Kusini na leo anatarajiwa ku [...]