Tag: habari za kimataifa
Lindi washukuru fedha za tozo kwa kuboresha sekta ya Afya
Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Januari 29,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania Januari 29,2022. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=9Iu9eovU [...]

Fahamu namna ambavyo Marais na Viongozi wakubwa walivyosherekea siku zao za kuzaliwa
Kuna namna mbalimbali ambazo watu hutumia kushereka kumbukizi za siku zao za kuzaliwa, wengine hujiandalia sherehe, kusafiri na kwenda sehemu mbalimba [...]
Amina : Filamu yakuchangamsha wikiendi yako
Bara la Afrika lina historia ya muda mrefu na mashujaa wengi ambao tumekuwa tukiwasoma shuleni na vyuoni. Lakini mara nyingi tumekuwa tukisoma au kusi [...]
‘In my Maserati’ yamlambisha dili nono Olakira
Mwimbaji anayekuja kwa kasi kutoka nchini Nigeria, Olakira, ameanza mwaka kwa njia nzuri kwa kusaini mkataba na kampuni ya magari ya kifahari, Masera [...]
Sokwe dume mzee zaidi duniani, afariki akiwa na umri wa miaka 61 katika Zoo Atlanta
Sokwe dume mzee zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Ozzie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 katika hifadhi ya wanyama nchini Atlanta huku [...]
Zingatia haya kabla ya ndoa
Linapokuja suala la ndoa wengi hufikira kuhusu mwisho mzuri, Wanafikiria siku ambayo hatimaye watasema "Ninafanya" na kuishi kwa furaha milele. Lakini [...]
Magazeti ya leo Januari 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatano Januari 26, 2022.
[...]
Maeneo 7 ambayo yalichunguzwa kubaini chanzo cha moto Soko la Karume
Tume ya uchunguzi wa ajali ya moto uliotokea na kuteketeza Soko la Mchikichini maarufu Soko la Karume, Dar es Salaam jana iliwasilisha taarifa yake kw [...]
Magazeti ya leo Januari 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatatu Januari 24,2022.
[...]

