Tag: habari za kimataifa
Panya wa Tanzania Ronin avunja rekodi ya Panya Magawa
Panya mkubwa wa kiafrika (Cricetomys ansorgei) mwenye jina la Ronin amepata sifa ya kugundua mabomu 109 ya ardhini na vipande 15 vya ziada vya risasi [...]
ATCL kuanza safari za moja kwa moja Kinshasa
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kuanza safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC) hatua i [...]
Mkuchika: Bye Bye ubunge
MBUNGE wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametang [...]
Jeshi la Polisi latangaza nasafi za ajira
Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki, likiwataka kutuma maombi yao kupitia mfumo wa aji [...]
TRC yakamilisha majaribio ya mabehewa ya mizigo ya SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limekamilisha majaribio ya mabehewa 264 ya mizigo yaliyowasili nchini Desemba 2024. Majaribio ya mabehewa hayo yaliyoch [...]
Rais Samia awasihi wawekezaji kulipa kodi na tozo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Kiwanda cha Chokaa na Saruji- Maweni Limestone mkoani Tanga na kuzung [...]
Rais Samia ampisha mwanafunzi kukalia kiti chake
Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara yake wilayani Muheza, mkoa wa Tanga, alifanya kitendo kilichogusa hisia za watu wengi baada ya kumpisha [...]
Rais Samia azindua jengo la Halmashauri Bumbuli
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni 3,2.
J [...]

Mkutano wa G25 waazimia kuongeza thamani ya zao la kahawa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mkutano wa tatu wa nchi zinazozalisha kahawa barani Afrika unapaswa kuazimia kuongeza thamani ya zao hilo ili kufikia [...]
Hungary kufungua ofisi ndogo ya ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabid Kombo (Mb.), tarehe 21 Februari, 2025 jijini Budapest, Hungary, a [...]