Tag: juma jux
Ufahamu uhaini, moja ya tishio kubwa zaidi la amani kwa nchi yoyote duniani
Agosti 10 mwaka huu Wakili Boniface Anyisile Mwabukusi alisimama nje ya Mahakama Jijini Mbeya na kusema kwamba anapinga uamuzi wa mahakama kutupilia m [...]
Hotuba ya Rais Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
Hii hapa hotuba ya Rais Samia Suluhu aliyoisoma katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital [...]
Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango ametoa mapendekezo matatu yatayosaidia kuimarisha uwezo wa rasilimali watu barani Afrika ikiwemo ta [...]
Wavulana wakimbiza matokeo kidato cha sita 2023
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya mtihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu wa jumla kwa watahiniwa wa shule [...]
Ajira mpya 77 Kada za Afya
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imetangaza tena nafasi za ajira kwa kada za Afya 77 nakuwataka wa [...]
TPDC, CNOOC ya China kushirikiana katika sekta ya gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la Maendeleo la Petroli la Tanzania(T [...]
Wanaume mnaopitia unyanyasaji toeni taarifa
Wanaume nchini wameshauriwa kutovumilia na kuficha vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa kwenye ndoa na kwenye familia zao.
Badala yake, wametakiwa ku [...]
Uchumi kukua kwa 5.2% mwaka 2023
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua kwa kasi ya asilimia 5.2 mwaka 2023 kutoka asilimia 4.7 mwaka jana ukichochewa zaidi na sababu mbalimbali zikiwemo [...]
Deni la serikali laongezeka kwa 13.9%
Deni la serikali hadi Aprili 2023, lilikuwa shilingi bilioni 79,100.19 sawa na ongezeko la asilimia 13.9 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 69,440.01 [...]
Manufaa ya Mkataba uliosainiwa kati ya Tanzania na Serikali ya Dubai
Mnamo tarehe 28 Februari, 2022, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authorit [...]