Tag: juma jux

1 2 3 4 5 6 57 40 / 564 POSTS
Waliodanganya kuwa ni walemavu wafutiwa maombi ya ajira

Waliodanganya kuwa ni walemavu wafutiwa maombi ya ajira

Serikali imewapangia vituo vya kazi waajiriwa wapya 18,449 kati ya 21,200 ambao ajira zao zilitangazwa wa kada za ualimu na afya. Waziri wa Nchi, O [...]
Fahamu kuhusu ndege ya Air Tanzania Cargo

Fahamu kuhusu ndege ya Air Tanzania Cargo

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Watanzania kupokea ndege ya kwanza ya mizigo ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya B [...]
Rais Samia asikia kilio cha muigizaji Hawa

Rais Samia asikia kilio cha muigizaji Hawa

Rais Samia Suluhu ametoa msaada wa shilingi milioni 5 za kusaidia muigizaji Hawa ambaye amekua akiugua kwa miaka mtano huku akifanyiwa upasuaji zaidi [...]
Tanzania na dhamira ya kuwa mwenyeji AFCON 2027

Tanzania na dhamira ya kuwa mwenyeji AFCON 2027

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa [...]
Fahamu mambo 3 yaliyokwamisha uamuzi wa kuhamia Ikulu Chamwino

Fahamu mambo 3 yaliyokwamisha uamuzi wa kuhamia Ikulu Chamwino

Wazo la kuhamisha Ikulu kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma lilianza mwaka 1973 ambapo Hayati Mwalimu Nyerere alitoa wazo hilo na kutaka likamilike nda [...]
Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo. Maamuz [...]
Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo

Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzan [...]
TAMISEMI: Waziri Dugange hajajiuzulu

TAMISEMI: Waziri Dugange hajajiuzulu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema Naibu Waziri wa Ofisi hiyo anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange hajajiuzulu wa [...]
Rais Samia apewa maua yake na klabu ya Seattle Sounders Marekani

Rais Samia apewa maua yake na klabu ya Seattle Sounders Marekani

Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle [...]
1 2 3 4 5 6 57 40 / 564 POSTS
error: Content is protected !!