Rais Samia asikia kilio cha muigizaji Hawa

HomeKitaifa

Rais Samia asikia kilio cha muigizaji Hawa

Rais Samia Suluhu ametoa msaada wa shilingi milioni 5 za kusaidia muigizaji Hawa ambaye amekua akiugua kwa miaka mtano huku akifanyiwa upasuaji zaidi ya mara 10.

Taarifa za Hawa zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wachapisha video na picha zake huku wakiomba mtu yeyote aweze kumsaidia.

error: Content is protected !!