TRC yatangaza nauli za SGR

HomeKitaifa

TRC yatangaza nauli za SGR

Shirika la Reli Tanzania TRC limependekeza nauli mbalimbali za abiria katika Treni za Reli ya Kisasa SGR ambapo mapendekezo hayo yamepelekwa mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa ajili ya kupokea maoni ya wadau kuhusu nauli hizo.

Katika taarifa iliyotolewa na LATRA inaeleza kuwa zoezi la kuchukua maoni litaanza 19 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Anatorglo – Dar es Salaam.

error: Content is protected !!