Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR

HomeKitaifa

Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR

Shirika la Reli la Tanzania- TRC limetoa ufafanuzi kuhusu mabahewa mapya ishirini na mbili (22) ya reli ya zamani yaliyonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma ya usafiri wa aviria nchini kupitia reli ya MGR.

error: Content is protected !!