Wanyama kufungwa redio

HomeKitaifa

Wanyama kufungwa redio

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana, leo Oktoba 13, 2022, amezindua ufungaji wa redio za mawasiliano kwa wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.

Kazi hiyo inatekelezwa kupitia mradi wa Kuendeleza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW), kwenye hifadhi za taifa zilizopewa kipaumbele ya Udzungwa, Nyerere , Ruaha na Mikumi, ambapo wanyamapori wanaowekewa redio hizo ni tembo, twiga na Simba.

error: Content is protected !!