Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi namba CAS 2025/A/11298.
View this post on Instagram