Wanataaluma 11,000 duniani kote wamepiga kura kutaja taasisi za elimu ya juu (vyuo vikuu) bora zaidi duniani. Taifa la China limeshuhudiwa kwa mara ya kwanza kabisa kuingiza chuo kikuu kimoja ndani ya vyuo vikuu 10 (Top Ten) bora na likiwa na vyuo vikuu 17 bora ndani ya vyuo vikuu 200 duniani ambapo katika idadi hiyo Uingereza inaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu 25.
Mtiririko ni kama ufuatao
10. Tshinghua Univerity – China
9. University of Carlifornia, Los Angeles – Marekani
8. Yale University – Marekani
7. Princenton University – Marekani
6. University of Carlifornia, Barkley – Marekani
5. University of Cambridge – Uingereza
4. Stanford University – Marekani
3. University of Oxford – Uingereza
2. Messachussets Institute of Technology – Marekani
1. Havard University – Marekani
Source: Times Higher Education