Aingizwa mochwari akiwa hai

HomeKimataifa

Aingizwa mochwari akiwa hai

Mzee mmoja raia wa China aokolewa na mhudumu wa mochwari baada ya kupelekwa kwenye chumba hicho cha kuhifadhia maiti akiwa hai.

Baada ya kupokea mfuko uliokuwa umehifadhi mwili wa mzee huyo, mhudumu wa mochwari aligundua kuwa mtu huyo yu hai na yupo pale kimakosa.

Serikali ya jiji la Shanghai imethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema hali ya mzee huyo inaendelea vizuri huku daktari aliyehusika akifukuzwa kazi na kunyang’anywa cheti.

error: Content is protected !!