Air Tanzania: Ndege zipo salama

HomeKitaifa

Air Tanzania: Ndege zipo salama

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa hali yake inahatarisha usalama wa ndege na abiria.

Picha ya Tairi la ndege ya Air Tanzania iliyosambaa mitandaoni

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Kampuni ya ATCL imeeeleza kiundani na kufafanua jambo hilo huku likiwatoa hofu abiria na kueleza kwamba kila kitu kipo sawa.

error: Content is protected !!