Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania

HomeBurudani

Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania

Ni siku chache tangu aanze kuonekana kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam na kwenye mitandao ya kijamii mchekeshaji kutoka Tanzania, Jackie maarufu kama Bongo Spider Man amepata pongezi kutoka kwa Spider Man wa Nigeria Jonathan Olakunle Olanlokun ambaye amesema amempa pongezi kwa kazi anayofanya na pia kuahidi kushirikiana naye.

Spider Man wa Nigeria yeye ni maarufu kwa kutunza mazingira kwani huvaa nguo hizo na kisha kuanza kuokota uchafu huku akihamasisha watu walinde mazingira.

Spider Man wa Nigeria (Jonathan

 

View this post on Instagram

 

A post shared by BONGO SPIDERMAN (@jackie8_)

error: Content is protected !!