Nafasi za kazi Wizara ya Afya

HomeKitaifa

Nafasi za kazi Wizara ya Afya

Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 247 zikihusisha madakitari bingwa 30, baada ya kupata Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Aprili 20, 2023.

1. Daktari daraja la II nafasi 15
2. Daktari wa meno daraja la II nafasi 10
3. Mfamasia daraja la II nafasi 10
4. Afisa Muuguzi daraja II nafasi 15
5. Afisa Muuguzi msaidizi daraja II nafasi 40
6. Afisa Mteknolojia daraja la II nafasi 15
7. Mteknolojia daraja la II nafasi 48
8. Mhandisi vifaa tiba daraja II nafasi 10
9. Fundi sanifu vifaa tiba daraja II nafasi 15
10. Fiziotherapia daraja la II nafasi 10
11. Afisa afya mazingira daraja II nafasi 10
12. Afisa afya mazingira msaidizi daraja II nafasi 15
13. Mtoa tiba kwa vitendo daraja II nafasi 4

Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa hospitali za rufaa za mikoa ya Kigoma, Katavi, Sumbawanga, Songea, Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Simiyu, Geita, Shinyanga, Ttabora, Singida, Manyara, na Mara.

Maeneo mengine ni Hospitali ya Kanda ya Chato, na Mtwara. Hospitali ya magonjwa ambukizi Kibbong’oto na vyuo vya afya.

64423427669cf476299443 (1)
error: Content is protected !!