Miriam Odemba akubali mimba za Ibraah

HomeBurudani

Miriam Odemba akubali mimba za Ibraah

Mwanamitindo na Mshindi wa taji la Miss East Africa 1998, Miriam Odemba ameendelea kupigania penzi lake kwa kinda kutoka lebo ya Konde Gang, Ibraah kwa kusema kwamba yupo tayari kupokea mimba za wanawake wanaosema hisi kwamba ni za msanii huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Miriam ameandika maelezo kwa urefu kukaribisha wanawake hao na hii imetokea baada ya msichana mmoja kudai kwamba amezaa na Ibraah lakini hapati matunzo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Miriam Odemba (@miriamodemba)

error: Content is protected !!