Anjella aiaga Konde Gang

HomeBurudani

Anjella aiaga Konde Gang

Aliyekuwa msanii chini ya lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide inayomilikiwa na Harmonize, Anjella ameiaga lebo hiyo na kutoa shukurani kupitia ukurasa wake wa instagram .

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Anjella Tz (@anjella_tz)

error: Content is protected !!