Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

HomeKitaifa

Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 12.46 kati ya Julai hadi Desemba 2022, sawa na 99% ya lengo la kukusanya TZS trilioni 12.48.

Makusanyo hayo ni ongezeko la TZS trilioni 1.35 ikilinganishwa na TZS trilioni 11.11 iliyokusanywa kipindi kama hicho mwaka 2021.

error: Content is protected !!