Athari 3 za matango

HomeElimu

Athari 3 za matango

Matango ni moja wapo ya matunda yanayopendwa sana na hutumika kama kinga ya mwili na kwenye urembo wasichana hupaka usoni ili kuwa na ngozi nyororo na yenye kuvutia.

Aidha, ingawa matango yanafaida kubwa sana kwa mwili wa mwanadamu lakini pia kuna athari zake nazo ni kama zifuatazo:

  • Huleta uzito kwenye mmengenyo wa chakula, endapo utakula tango usiku wakati wa kulala basi litasababisha uzito na kuchelewa kwa chakula kumengenywa na hii itakufanya wewe ushindwe kupata usingizi kwa wakati.
  • Tango lina maji mengi hivyo endapo utakula kwa wingi basi kibofu kitajaa na utalazimika kwenda kukipunguza mara kwa mara jambo ambalo linaweza kukufanya usiwe makini na kazi unayoifanya.

  • Tango sio kitafunwa na sio kila mtu akila linamkubali kwani ukila sana matango unaweza ukapata shida kwenye mfumo mzima wa chakula mwili mwako kama kukosa haja kubwa.

Aidha, una shauriwa kula matango dakika 20-30 kabla ya chakula cha usiku.

error: Content is protected !!