Author: Cynthia Chacha
Mkuchika: Bye Bye ubunge
MBUNGE wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametang [...]
Jeshi la Polisi latangaza nasafi za ajira
Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki, likiwataka kutuma maombi yao kupitia mfumo wa aji [...]
Rais Samia: Hongera Mama Swapo
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempongeza Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa kushinda urais na kuwa rais wa tano na rais wa kwanza mwanamke wa Namibi [...]

Rais Samia: Tunasonga Mbele
Rais Samia Suluhu Hassan ameidhimisha miaka yake minne tangu aapishwe kuwa Kiongozi wa Nchi kwa kutoa shukurani kwa salamu za kheri alizopokea huku ak [...]

Miaka minne ya Rais Samia, Tanzania ipo imara
LEO inatimia miaka minne tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais tarehe 19 Machi, 2021, kufuatia kifo cha Rais mstaafu, Ma [...]
Taarifa kuhusu gari la polisi kuibiwa mkoani Mbeya
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa ya wezi kuiba gari la polisi mkoani Mbeya, taarifa hizo sio za kweli.
Taa [...]

Sera mpya ya ardhi iliyozindulizwa itasaidia utatuzi wa migogoro ya ardhi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua Sera mpya ya Ardhi inayolenga kufanya maboresho katika sekta hiyo ikiwemo kutatua migogoro ya ardhi ya [...]
Miaka minne bila Magufuli: Tanzania imesonga mbele
Rais Samia ameendeleza miradi mikubwa ya kimkakati iliyoasisiwa na mtangulizi wake, huku akifungua fursa mpya za kiuchumi. Miradi kama Bwawa la Umeme [...]
Tanzania ina umeme wa kutosha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchemsi Mramba, amesema Tanzania ina umeme wa kutosha kwa matumizi yake na kuuza nchi zingine, huku akita [...]

Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe kuchochea uchumi wa wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kunatarajiwa kuwa na mchango katika kupunguza umaskini kwa jamii [...]