Author: Cynthia Chacha
Sh bilioni 298 kugharamia kifua kikuu, UKIMWI na Malaria
Jumla ya Sh bilioni 298 zimetumika na serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 na 2025/26 kuongeza nguvu manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha z [...]
Uzalishaji madini Geita waongezeka kwa 20%
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mkoa wa Geita umepata mafanikio makubwa yaki [...]
Rais Samia: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni jumuishi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ili nchi ifikie malengo iliyojiwekea katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, taasisi za umma, sekta bin [...]
Mradi wa EACOP wafungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa Tanga
Wananchi waishio kwenye vijiji vinavyopakana na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki, EACOP wamesema Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. R [...]
Dk. Burian: Tanga ina lita milioni 210 za mafuta
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian amesema mkoa huo unahifadhi ya lita za ujazo milioni 210 za mafuta ya petroli na dizeli, ikiwa ni mat [...]
Shule ya Sekondari ya Wasichana yaleta neema Geita
Kupitia Mradi wa serikali wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Wananchi mkoani Geita wamenufaika na miundombinu ya ujenzi wa shule mpya m [...]
Sh. bilioni 5.7 zilivyobadilisha taswira ya elimu Kigoma
Serikali kupitia Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa Sh bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za [...]
Mradi wa Maji Nangano kunufaisha wakazi 1,428
Zaidi ya wakazi 1,428 wa Kijiji cha Nangano, Wilaya ya Liwale mkoani Lindi wameanza kunufaika na mradi wa maji ya bomba uliomaliza adha ya kutembea za [...]
Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU – Malabo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan [...]
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano
Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya N [...]