Author: Cynthia Chacha
Tanzania kupokea zaidi ya dola milioni 900 kutoka IMF
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kupitia taarifa yake iliyotoka Juni 20,2024 imesema kwamba bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola mil [...]
Rais wa Guinea kufanya ziara ya siku tatu Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau na Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Mheshimiwa Umaro Sissoco [...]
Tamko la Serikali kuhusu mauaji ya albino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 20 Juni 2024 ametoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino.
20.06.20 [...]
Watalii wa kimataifa wamiminika Tanzania kwa ongezeko la 22%
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia ripoti yake ya mwezi Mei 2024 inaonyesha ukuaji wa sekta ya utalii na namna inavyoendelea kuvunja rekodi kwa ujio [...]
Bia, michezo ya kubahatisha kugharamia bima ya afya kwa wote
Serikali imependekeza ongezeko la ushuru kwa viwango tofauti kwenye michezo ya kubahatisha, bidhaa za urembo, vinywaji laini, bia na pombe kali ili ku [...]
Serikali kuongeza pensheni kwa wastaafu
Serikali ya Tanzania imesema itaongeza malipo ya mkupuo ya kikokotoo cha pensheni ya wastaafu kutoka asilimia 33 iliopo sasa hadi asilimia 40 lengo li [...]
Uchumi wakua kwa asilimia 5.4
Serikali imesema mikakati ya kukabiliana na athari za vita katika eneo la Ukraine pamoja na uwekezaji katika sekta za kilimo, nishati, maji, ujenzi, m [...]
Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%
Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa imeonyesha ongezeko katika Pato Halisi la Taifa kwa kufika ashilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141 [...]
“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhar [...]
Serikali kudahili wanafunzi 500 vyuo vya wenye ulemavu
SERIKALI imesema mwaka 2024/2025 imepanga kupitia vyuo vyake vya watu wenye ulemavu kudahili wanafunzi 1500 kati yao wasio na ulemavu ni 500 sawa na a [...]