Author: Cynthia Chacha
Rais Samia afanya uteuzi
Katika kuboresha utendaji kazi, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi.
[...]
Matinyi: Serikali haijaweka rehani kitu chochote
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema mkopo wa Sh 6.5 trilioni uliikopwa na Serikali nchini Korea utalipwa kwa kipindi cha miaka 40 kuanzia [...]
UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, [...]
Balozi Togolani akanusha taarifa za kutolewa kwa sehemu ya bahari kwa mkopo
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Togolani Mavura, amethibitisha kuwa Tanzania haikusaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea kuhusu Bahari ya Ta [...]
Rais Samia kujenga chuo cha masuala ya anga Tanzania
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ina mpango wa kujenga chuo cha masuala ya anga nchini Tanzania kwa kushirikiana na Chuo K [...]
Korea kuikopesha Tanzania Sh 6.5 trilioni
Tanzania imesaini tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA) na Jamhuri ya Korea utakaoiwezesha kupata mkopo wa Sh6.5 trilion [...]
Rais Samia aanza ziara ya siku saba nchini Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku saba katika Jamhuri ya Korea Kusini na leo anatarajiwa ku [...]
Rais Samia kuongoza Mkutano wa SADC Agosti, 2024
Kuanzia mwezi Agosti, 2024 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi n [...]
Sh. bilioni 241 kutekeleza vipaumbele vya Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametaja vipaumbele vitano vya wizara hiyo katika Mwaka wa Fedha 2024/25.
[...]
Dkt. Kikwete kinara utafutaji fedha za kuimarisha elimu Afrika
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Ben [...]