Author: Cynthia Chacha

1 12 13 14 15 16 280 140 / 2798 POSTS
Rais Samia Suluhu Hassan atajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa Afrika 2025

Rais Samia Suluhu Hassan atajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa Afrika 2025

Avance Media imetangaza orodha ya Wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Barani Afrika kwa mwaka 2025, chapisho ambalo linatambua wanawake wa Kiafrika am [...]
Rais Samia: Tanzania imepanda viwango kimataifa vya nchi zinazopendelewa kwa uwekezaji

Rais Samia: Tanzania imepanda viwango kimataifa vya nchi zinazopendelewa kwa uwekezaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tanzania imepanda kwa nafasi tisa katika viwango vya kimataifa vya nchi zin [...]
Shilingi bilioni 5 zatengwa kuimarisha kampuni 50 za TEHAMA

Shilingi bilioni 5 zatengwa kuimarisha kampuni 50 za TEHAMA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza kwa vi [...]
Zaidi ya vituo vya afya 500 vyafanyiwa tathmini ya miundombinu

Zaidi ya vituo vya afya 500 vyafanyiwa tathmini ya miundombinu

Serikali imefanya tathmini na kuainisha vituo vya afya kongwe 532 ambavyo vinahitaji kuongezewa na kukarabatiwa kwa miundombinu yake. Naibu Waziri [...]
Soko la dengu kufunguliwa Malyasia

Soko la dengu kufunguliwa Malyasia

Serikali imesema inaendelea na taratibu za kufungua soko la dengu nchini Malaysia. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde ametoa kauli hiyo bungeni [...]
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025

Baraza la Mtihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17,2025. Tazama matokeo ya kidato c [...]
BoT: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

BoT: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jana tarehe 30 Januari 2026, imesema ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kusawazisha mizani [...]
Serikali imetoa shilingi bilioni 2 kuwawezesha watengeneza maudhui mitandaoni

Serikali imetoa shilingi bilioni 2 kuwawezesha watengeneza maudhui mitandaoni

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa ma [...]
Uzinduzi wa mkakati wa KKK ni utekelezaji wa malengo ya UN

Uzinduzi wa mkakati wa KKK ni utekelezaji wa malengo ya UN

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzinduzi wa Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) umetekeleza lengo namba nne [...]
Papa Leo XIV aitaka Tanzania kufungua ubalozi Vatican

Papa Leo XIV aitaka Tanzania kufungua ubalozi Vatican

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, amewasilisha wito rasmi kwa Tanzania kufungua ubalozi wake Vatican, hatua itakayodumisha na kuimari [...]
1 12 13 14 15 16 280 140 / 2798 POSTS
error: Content is protected !!