Author: Cynthia Chacha

1 14 15 16 17 18 276 160 / 2751 POSTS
Tovuti za wizara nchini Kenya zadukuliwa

Tovuti za wizara nchini Kenya zadukuliwa

Tovuti kadhaa za wizara muhimu nchini Kenya zimevamiwa na shambulio la kimtandao leo asubuhi, hali iliyosababisha kukosekana kwa huduma kwa muda. K [...]
Tanzania kupata bil 49/- kukabili athari mabadiliko tabianchi

Tanzania kupata bil 49/- kukabili athari mabadiliko tabianchi

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh bilioni 48.9) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya k [...]
Ifikapo 2030 Serikali imelenga kufikisha watalii milioni 8

Ifikapo 2030 Serikali imelenga kufikisha watalii milioni 8

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii wa ndani na nje milio [...]
Waliohudhuria mkutano ufunguzi wa bunge

Waliohudhuria mkutano ufunguzi wa bunge

Wageni na wawakilishi wa mataifa mbalimbali wamehudhuria ufunguzi wa Bunge 13, linalozinduliwa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan jijini Dod [...]
Bunge la Tanzania lairishwa, kurejea Januari 27, 2026

Bunge la Tanzania lairishwa, kurejea Januari 27, 2026

Baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kumaliza kulifungua rasmi na kulihutubia Bunge leo Novemba 14, 2025 jijini Dodoma, shughuli za Bunge z [...]
Dkt Samia: Vijana ndio walinzi , msikubali kushawishiwa kuichoma Tanzania

Dkt Samia: Vijana ndio walinzi , msikubali kushawishiwa kuichoma Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amewaambia vijana kuwa Tanzania ni nchi yao, hivyo wasikubali kushawishiwa kuichomoa [...]
Waliokamatwa kwa vurugu kusamehewa

Waliokamatwa kwa vurugu kusamehewa

Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29 [...]
Dkt Samia: Tutaongeza kasi kutekeleza tuliyoahidi

Dkt Samia: Tutaongeza kasi kutekeleza tuliyoahidi

Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhakikisha kunakuwa na kasi ya utekelezaji wa ahadi na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 202 [...]
Wakulima 368 mkoani Mara kunufaika na zana za umwagiliaji wa kisasa

Wakulima 368 mkoani Mara kunufaika na zana za umwagiliaji wa kisasa

Wakulima wadogo 368 kutoka mkoa wa Mara wamepata neema baada ya kukabidhiwa jozi 34 za mashine za umwagiliaji zenye thamani ya zaidi ya shilingi milio [...]
1 14 15 16 17 18 276 160 / 2751 POSTS
error: Content is protected !!