Author: Cynthia Chacha
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Fahamu mambo atakayofanya Rais Samia Uturuki
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kuanzia leo Aprili 17 hadi 20, 2024 kufuatia mwaliko wa Rais wa [...]
Serikali yatoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya huduma za afya kwa waathirika wa mafuriko
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi 216, 715, 516 kwa ajili ya kuhudumia wahanga wa mafuriko waliokus [...]
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr.
Kupitia kuras [...]
Mange Kimambi amepotea njia
Na Isaya Mdego, safarini Marekani.
Jana na usiku wa kuamkia leo Mange Kimambi amechapisha maandiko mawili ya kumtukana Rais Samia Suluhu. Wako wali [...]
17 waokolewa meli iliyozama DRC
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama Meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, iliyo [...]
Sh. milioni 150 zatengwa kujenga barabara korofi Iringa
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainabu Katimba amesema serikali imeshaanza kujenga barabara korofi ya Ilula Image na Ibumu mkoani Iringa .
Ak [...]
Treni ya mchongoko yawasili
Serikali imepokea seti ya kwanza ya treni ya umeme ya ‘Electric multiple unit’ (EMU) yenye vichwa vitano mchomoko na mabehewa matatu, Waziri wa Uchuku [...]
Magazeti ya leo Machi 29,2024
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 29, 2024.
[...]
Taarifa za kiongozi wa mbio za mwenge zafanyiwa kazi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imefanya uchunguzi wa taarifa ya kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2023, Abdalah Shaibu ambaye ali [...]