Author: Cynthia Chacha
Atupa lawama kwa bodi
Mmiliki wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji ametupia lawama kwa bodi ya timu hiyo baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Yanga leo Mei 28, 202 [...]
Samia apeleka kicheko Katavi
Wananchi wa Kijiji na Kata ya Inyonga Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma ya maji karibu ambapo [...]
Mjamzito atolewa figo kwa siri
Nchi Uganda, Polisi wanachunguza tukio la madaktari kutoa figo kwa siri ya mjamzito Peragiya Muragijemana (20) mkazi wa Kijiji cha Lwemiggo, wilayani [...]
Shaka ajibu mapigo ya NCCR-Mageuzi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amejibu tuhuma zilizotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini kwamba Chama cha Map [...]
Magazeti ya leo Mei 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Mei 28,2022.
[...]
Nchi za Afrika zenye monkeypox
Morocco na Sudan zinachunguza visa vinavyoshukiwa vya ugonjwa wa monkeypox, imesema taasisi hiyo ya afya barani.
Hii inakuja baada ya milipuko ya v [...]
Serikali yaongeza posho za safari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuupiga mwingi kwa kutoa kibali cha kurekebisha posho ya kujikimu ya safar [...]
AC na Wi-Fi ndani ya mwendokasi mpya
Serikali imesema kuwa ina mpango wa kuweka huduma ya intaneti (Wi-Fi) na viyoyozi katika mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) kwa lengo la kukuza ushin [...]
Magazeti ya leo Mei 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Mei 27,2022.
[...]
Kikokotoo kipya Julai Mosi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu ametangaza rasmi kanuni mpya ya Mafao ya Pensheni kufuatia [...]