Author: Cynthia Chacha

1 … 160 161 162 163 164 … 283 1620 / 2821 POSTS
Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa

Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameshangazwa na baadhi ya hospitali kuwatoza wagonjwa kiasi cha shilingi 15,000 ili kuweza kumuona daktari jambo ambalo s [...]
Hii industry haina shukurani

Hii industry haina shukurani

Baada ya Romy Jons ambaye ni kaka wa msanii Diamond Platnumz kumuandikia barua ya wazi kwenye ukurasa wake wa Instagram akimtaka mdogo wake aachane na [...]
Viongozi wa dini walaani kitendo cha Tunda Man kutumia jeneza Simba Day

Viongozi wa dini walaani kitendo cha Tunda Man kutumia jeneza Simba Day

Baadhi ya viongozi wa dini wakiwamo maaskofu, wameibuka na kutoa kauli kuhusu kitendo cha klabu ya Simba kuruhusu wato burudani kuingia na jeneza lili [...]
Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amezipongeza na kuzitaki kila heri timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa [...]
Vijana wanavyoinuliwa na Rais Samia kupitia vyuo vya ujuzi

Vijana wanavyoinuliwa na Rais Samia kupitia vyuo vya ujuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejizatiti katika kutoa elimu ujuzi na hivyo itaen [...]
Kizz Daniel: Kweli begi langu moja lilisahaulika Nairobi

Kizz Daniel: Kweli begi langu moja lilisahaulika Nairobi

Msanii wa nchini Nigeria, Daniel Anidugbe maarufu Kizz Daniel  amewaomba radhi Watanzania kwa kushindwa kufanya onyesho lake mkoani Dar es Salaam. [...]
Magazeti ya leo Agosti 10,2022

Magazeti ya leo Agosti 10,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Agosti 10,2022. [...]
Picha za Muonekano wa Barabara ya Njombe- Makete KM 107.4

Picha za Muonekano wa Barabara ya Njombe- Makete KM 107.4

Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete km 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika h [...]
Kamanda Muliro azungumzia sakata la Kizz Daniel

Kamanda Muliro azungumzia sakata la Kizz Daniel

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ameeleza hatua za Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Da [...]
AYO TV washushiwa rungu na TCRA

AYO TV washushiwa rungu na TCRA

Televisheni ya mtandaoni ya Millard Ayo (AYO TV) inatakiwa kuomba radhi siku tatu mfululizo baada ya kuchapisha maudhui yanayoonyesha miili ya watoto [...]
1 … 160 161 162 163 164 … 283 1620 / 2821 POSTS
error: Content is protected !!