Rais Samia afanya uteuzi EWURA

HomeKimataifa

Rais Samia afanya uteuzi EWURA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Prof. Mwandosya anachukua nafasi ya Prof. Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemaliza muda wake.

Prof. Mark James Mwandosya

 

error: Content is protected !!