LATRA kutoza faini 250,000

HomeKitaifa

LATRA kutoza faini 250,000

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imesema kuanzia Septemba Mosi itaanza kutoza faini ya Sh250,000 mabasi yote yatakayo kiuka sharti la kutoa tiketi za kielektroniki.

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA Habibu Suluo amewaambia waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kuwa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani wahakikishe wanaanza kutoa tiketi za kielektroniki kuepuka adhabu hiyo.

Mamlaka hiyo imesema, tiketi ni muhimu hasa pale inapohitajika fidia ya bima baada ya ajali.

error: Content is protected !!