Author: Cynthia Chacha

1 17 18 19 20 21 238 190 / 2371 POSTS
Matokeo Kidato cha Nne 2023

Matokeo Kidato cha Nne 2023

Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza watahiniwa 484,823 sawa na 87.65% wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023 wamefaulu. Akitangaz [...]
Rais Samia awasili Indonesia

Rais Samia awasili Indonesia

Rais Samia Suluhu Hassan alifika Jakarta leo kuanza ziara ya kiserikali nchini Indonesia. Nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia imeendelea kuwa na uh [...]
Wakimbizi Tanzania kuanza kuhakikiwa

Wakimbizi Tanzania kuanza kuhakikiwa

Serikali ya Tanzania imesema itaanza uhakiki wa wakimbizi na waomba hifadhi kutoka nchi jirani ili kuwarejesha makwao wasiostahili na kuongeza usalama [...]
Rais Samia amewasihi wananchi kuchagua viongozi wanaofaa

Rais Samia amewasihi wananchi kuchagua viongozi wanaofaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasihi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye chaguzi za Serikali za Mit [...]
Ruksa kuwekeza Msomera

Ruksa kuwekeza Msomera

Serikali imefungua milango ya fursa za uwekezaji katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ili kuboresha maisha ya wakazi wa [...]
IMF yatabiri makubwa ukuaji wa uchumi Tanzania

IMF yatabiri makubwa ukuaji wa uchumi Tanzania

Kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uchumi wa Tanzania unakaribia kufikia hatua kubwa, ukiwa na Pato la Taifa [...]
Jinsi Rais Samia anavyoipaisha Tanzania kiuchumi

Jinsi Rais Samia anavyoipaisha Tanzania kiuchumi

Hatua ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuitaja Tanzania miongoni mwa mataifa 10 ya Afrika yenye deni dogo la taifa imedhihirisha mafanikio ya ma [...]
Bandari ya Dar kimbilio la wengi

Bandari ya Dar kimbilio la wengi

Mabadiliko katika miundombinu, teknolojia ya kupakua na kupakia shehena na kasi ya kuhudumia meli katika Bandari ya Dar es Salaam kumeifanya bandari h [...]
Gloria apangiwa shule ya wavulana kujiunga kidato cha kwanza

Gloria apangiwa shule ya wavulana kujiunga kidato cha kwanza

Gloria Adhiambo Owino mwenye umri wa miaka 14 kutoka nchini Kenya amejikuta akipangiwa kujiunga kidato cha kwanza katika Shule ya Wavulana na Lenana a [...]
Waziri Kikwete: Utumishi wa umma ni kujibu kero za wananchi

Waziri Kikwete: Utumishi wa umma ni kujibu kero za wananchi

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema serikali imedhamiria kuwa na utumishi wa umma unaojibu cha [...]
1 17 18 19 20 21 238 190 / 2371 POSTS
error: Content is protected !!