Author: Cynthia Chacha
Rais Samia : vyuo vya ufundi kujengwa kila wilaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejidhatiti katika kuhakikisha kwamba wilaya nchini kuna chuo [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itautizama upya na kubadili mfumo wa sasa wa uteuzi wa mabalozi, ili kurejesha hadhi, umahiri na [...]
Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa
Idadi ya watalii walioingia Tanzania imeongezeka kwa asilimia 25.7 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huku nchi za Amerika na Ufaransa zikiingiza idadi [...]
Rais Samia anavyo-trend India
Kwenye mtandao maarufu wa Google nchini India, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekuwa mtu wa pili kwa habari zake kutafutwa sana kuliko mambo [...]
Lengo ni kufikia uwekezaji wa Dola bilioni 3 ifikapo 2025
Tanzania inalenga kuongeza uwekezaji kutoka India ambaye ni mshiriki wake mkubwa katika biashara.
Inatarajia uwekezaji kutoka India kupanda hadi do [...]
Rais Samia kutunukiwa shahada ya heshima kwa kukuza uhusiano kati ya Tanzania na India
Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru leo kinamtuku Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, shahada ya heshima. Rais yupo kwenye ziara ya siku nne nchini Ind [...]
Rais wa India afurahishwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu
Rais wa India, Smt Droupadi Murmu, alimpokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Rashtrapati Bhavan leo (Ok [...]
Rais Samia : ziara hii itakuza zaidi uhusiano wetu na India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alianza ziara ya siku nne nchini India Jumapili, Oktoba 8, yenye lengo la kukuza uhusian [...]
Rais Samia awasili India kwa ziara ya kiserikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili New Delhi kwa ziara ya Kiserikali ya siku nne nchini India leo tareh [...]