Author: Cynthia Chacha
Rais Samia Suluhu apongezwa kushiriki Mkutano wa 15 wa BRICS
Wachambuzi wa kiuchumi na kidiplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 15 wa BRICS uliofanyika Johannesburg, Afri [...]
Rais Samia asisitiza uwepo wa mfumo rafiki wa kimataifa wa fedha
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutafuta namna ya kukabiliana na changamoto ya mfumo wa kimataifa wa kifedha, unaozuia upatikanaji wa fedha za [...]
Serikali imekamilisha ukarabati wa shule yenye miaka 106
Serikali imetoa Sh milioni 180 zilizotumika katika ujenzi na kukamilisha ukarabati mkubwa wa vyumba tisa vya madarasa na uwekaji umeme katika shule ko [...]
Chalinze yapokea gari la Zimamoto na Uokoaji
Halmashauri ya Chalinze imepokea gari la Zimamoto na Uokoaji kwa ajili ya kukabiliana na majanga punde yanapatokea wilayani hapo.
Gari hilo, limeto [...]
Balozi wa Marekani: Sio lazima demokrasia zifanane
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Michael Battle, amesema kwamba demokrasia haitakiwi kuwa sawa kila mahali, na badala yake inapaswa kuzingat [...]
Rais Samia: Nitaendelea kukaa kimya, Tanzania haigawanyiki
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ameamua kunyamaza kimya na ataendelea kunyamaza kimya, lakini hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa Taifa w [...]
Rais Samia Suluhu ayataka mashirika ya umma kujitegemea na kuongeza kipato
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma kujitegemea ili kuongeza kipato kitakachopunguza mzigo wa utegemezi kwa Serikali na kukuza uchumi [...]
Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
Na Shemasi George Rugambwa
Seminari ya Ntungamo, Bukoba
Leo TEC imetoa tamko lake kuhusu mkataba wa kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam kati ya Ta [...]
Elimu ya msingi mwisho darasa la sita
Taasisi ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la sita 2023.
Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa eli [...]
Nape: Hakuna aliyekamatwa kwa kukosoa mkataba wa bandari
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Balozi Mstaafu Dkt. Willibrod Slaa, Mpa [...]