Author: Cynthia Chacha
Rais Samia Suluhu mfanyakazi bora
Wakati leo ni sikukuu ya Wafanyakazi duniani, Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (ULINGO), umempatia Tuzo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ya kuwa mfan [...]
7 wasimamishwa kukatika umeme kwa Mkapa
Serikali imewasimamisha kazi watumishi saba akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Salum Mtumbuka kufuatia hitilafu ya kuzimika kwa taa kat [...]
Salim Kikeke aaga BBC
Mtangazaji nguli wa habari wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC) ,Salim Kikeke ametangaza kustaafu kazi katika shirika hilo baada ya kulitumikia kwa [...]
Rais Kagame na ziara ya kikazi Tanzania
Mheshimiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 27 hadi 28 April, 2023.
Mheshimiwa Rais Paul Kagam [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376
Wafungwa 376 watanufaika na msamaha huu ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki [...]
Magazeti ya leo Aprili 26,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 26,2023.
[...]
Aliyeua na kula nyama za mtoto wake apelekwa rumande siku 10
Mahakama ya Kajiado imeamuru kuzuiliwa kwa mwanamke anayekabiliwa na shtaka la mauaji baada ya kudaiwa kumuua bintiye wa miaka miwili kwa kumkata vipa [...]
Magazeti ya leo Aprili 25,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 25,2023.
[...]
Yanayosubiriwa Mei Mosi mwaka huu
Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yapo mambayo kadhaa yakajitokeza katika sherehe z [...]
MV Mwanza kufanya safari za Kenya na Uganda
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema meli ya kisasa ya Mv Mwanza Hapa Kazi Tu itaanza kufanya safari za Uganda na Kenya katika ziwa Victoria baada ya [...]