Author: Cynthia Chacha
Royal Tour Tanzania yazidi kujibu
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imepokea meli nyingine iliyobeba watalii kutoka Ufaransa.
Meli hiyo ya utalii ijulikanayo k [...]
Magazeti ya leo Machi 10,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 10,2023.
[...]
Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuingilia kati suala la Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kutaka ma [...]
Magazeti ya leo Machi 8,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 8,2023.
[...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
Fahamu nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa China
China ni kati ya mataifa makubwa duniani yanayokopesha nchi nyingi za Afrika kiwango kikubwa cha fedha zinazowasaidia kutekeleza miradi na pia kuendes [...]
CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kimekubali kupokea ruzuku ya Sh. milioni 102 kwa mw [...]
Magazeti ya leo Machi 7,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 7,2023.
[...]
Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB
Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazoonekana kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali inadaiwa Dola z [...]