Author: Cynthia Chacha
Fahamu dalili za Mpox na jinsi unavyoambukizwa
Mpox (ambayo zamani ilijulikana kama monkeypox) ni ugonjwa nadra lakini unaweza kuwa na madhara makubwa unaosababishwa na virusi vya Mpox. Maambukizi [...]
Umoja wa Afrika watoa tahadhari ya Mpox
Uangalizi wa afya wa Umoja wa Afrika umetangaza dharura ya afya ya umma kutokana na kuenea kwa ugonjwa wa mpox barani Afrika, ukisema kuwa hatua hiyo [...]
Mamia ya wafuasi wa Chadema na viongozi wao waachiwa
Jeshi la Polisi limewaachia mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na viongozi wao wakuu baada ya kuwakamata ndani ya [...]
Rais Samia: Maafisa ugani ni mashujaa
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kutambua na kupongeza juhudi za maafisa ugani na maafisa ushirika katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nc [...]
Mwendokasi Gerezani- Mbagala kuanza Novemba mwaka huu
Huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi katika njia ya Gerezani hadi Mbagala, jijini Dar es Saalam, unatarajiwa kuanza Novemba [...]
Rais Samia : Hongereni wakulima, wafugaji na wavuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakulima, wafugaji, na wavuvi kwa juhudi zao kubwa zinazochangia katika maendeleo ya sekta ya kilimo, mifugo, na [...]
Rapa wa Marekani Lil Romeo atua Arusha kwa ajili ya Tamasha la Maasai Global
Arusha, Tanzania – Rapper maarufu wa Marekani, Lil Romeo, ambaye aliwahi kutamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000, amewasili Arusha tayari kwa ajili ya [...]
Rais Samia azindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi, ahimiza ushirikiano na sekta binafsi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kutekeleza ahadi zake kwa vitendo baada ya kuzindua Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kilichopo mkoani [...]
Morogoro wamkosha Rais Samia, aahidi kurudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akikaribia kumaliza rasmi ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani Morogoro, ametoa shuk [...]
Rais Samia: Wazazi waacheni watoto wasome
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Ifakara na Mlimba kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa manufaa ya jamii na taifa kwa [...]