Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Oktoba 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 6,2022.
[...]
Majaliwa awaita wawekezaji kuja nchini
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwenye sekta ya utalii, kwa sababu ya amani na utulivu na kwamba Watanzania ni [...]
Barua ya Museveni akiiomba Kenya msamaha
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameomba msamaha wananchi wa Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na mijadala iliyoanzishwa na mtoto wake Jene [...]
Kila la heri darasa la saba
Watahiniwa milioni 1.4 wa darasa la saba wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi leo, ikiwa ni daraja muhimu kujiunga na sekondari.
[...]
Magazeti ya leo Oktoba 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 5,2022.
[...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.
Bei hizi zitaanza kutum [...]
Vibanda umiza kusajiliwa na serikali
Bodi ya Filamu Tanzania imeanza uhakiki wa vibanda umiza vilivyopo mtaani lengo ni kuvisajili na kuweka utaratibu wa undeshaji.
Pia wameunda Kamati [...]
Babu Tale kuwalipia tiketi wasanii 7 waliochaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA
Mbunge wa Morogoro Mashariki na Meneja wa Wasanii wa muziki chini ya lebo ya WCB, Hamisi Taletale ameainisha dhamira yake ya kupambania tiketi za kuwa [...]
TCU yaongeza muda wa udahili vyuoni
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha awamu ya nne na ya mwisho ya udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu litakalokuwa wazi kwa muda wa si [...]
Magazeti ya leo Oktoba 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 4,2022.
[...]