Author: Mjumbe
Kikongwe wa miaka 100 mahakamani kwa makosa wakati wa vita ya pili ya Dunia
Kikongwe mwenye umri wa miaka 100 ambaye alilitumikia Jeshi la Ujerumani (SS guard) wakati wa vita ya pili ya Dunia, kesi yake itaanza kusikilizwa leo [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 07 (Haaland bado yupo sana Dortmund, Umtiti sokoni Januari)
Klabu za Chelsea, Manchester City na Manchester United zipo kwenye kinyang’anyiro cha kumuwania mshambuliaji kinda wa Stoke City, Emre Tezgel (16) amb [...]
Magazeti ya leo Alhamis, Oktoba 07, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Alhamis, Oktoba 07, 2021.
[...]
Mgogoro wa China – Taiwan wafikia pabaya
Waziri wa Ulinzi wa Taiwan Chiu Kuo-Cheng amesema kuwa hivi sasa mgogoro wa China na Taiwan umefikia hatua mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika kip [...]
Nafasi za Kazi Bodi ya Korosho Tanzania
About Cashewnut Board of Tanzania
The Cashewnut Board of Tanzania (CBT) is a corporate body established by the Act No. 18 of 2009. It is entrusted [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 06 (Xavi mbioni kuinoa Barcelona, Franck Kessie Kuziba pengo la Pogba Man United)
Klabu ya Red Bull Salzburg wanahitaji kati ya pauni milioni 25 - 34 kumuuza mshambuliaji wa Ujerumani Karim Adeyemi, ambaye anawindwa na klabu ya Live [...]
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 06, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 06, 2021.
[...]
Membe amuomba kazi Rais Samia
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na mgombea Urais wa Tanzania, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo mwaka 2020 Bernard Membe amesema ameridhishw [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 05, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Kauli ya Rais Samia kuhusu tozo
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya shilin [...]