Membe amuomba kazi Rais Samia

HomeKitaifa

Membe amuomba kazi Rais Samia

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na mgombea Urais wa Tanzania, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo mwaka 2020 Bernard Membe amesema ameridhishwa na utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu, hasa kwenye suala la uchumi na diplomasia.

 > Mfumo mpya wa maegesho Dar, fahamu jinsi ya kulipia, faida na changamoto zake

Membe ametoa kauli hiyo mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo amesema vizingiti vyote vilivyokuwa kikwazo kwake vimeondolewa na serikali ya awamu ya Sita hivyo yuko tayari kurejea nyumbani na yuko tayari kuwa kampeni Meneja wa Rais Samia mwaka 2025 ila anachosubiri ni hukumu ya kesi inayomkabili inayotarajiwa kutolewa hukumu Oktoba 12 mwaka huu.

error: Content is protected !!