Author: Thani Chikira
Simu 10 ghali zaidi duniani 2021
1. Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond - $48.5 Milioni (111,312,000,929.46 Tsh)
Simu hii ina almasi ya pink iliyopachikwa kwa nyuma. Kampuni inayo [...]
Mama apambana na Simba kumuokoa mwanae.
Mwanamke mmoja amnusuru mwanae wa miaka mitano kuwa mlo wa Simba huko California nchini Marekani.
Mtoto wa miaka mitano alishambuliwa na Simba wa m [...]

Sheria ya Mahari Kongo, vicheko kwa wanaume.
Hatua ya kutaka kurekebisha sheria ya mahari pamoja na ndoa za mitala ya mwaka 1987 nchini DRC imezua gumzo kubwa kwa watu wa Jamhuri ya Con [...]
Hatma ya Tanzania baada ya kufungwa ubalozi wa Denmark
Karibuni serikali ya Denmark imetangaza kuwa itafunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo mwaka 2024.
Serikali ya Tanzania kupita Waziri wa Mambo [...]

Utata watanda ripoti mpya juu ya chanzo cha UVIKO-19
Idara za usalama nchini Marekani zimeonekana kushindwa kueleza kuhusu chanzo halisi cha UVIKO-19 na kuachia ripoti yenye mkanganyiko kueleza makisio j [...]
Nini maana ya ugaidi, na gaidi ni nani?
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Machi 17, 2005 ulitoa maana ya “ugaidi” kuwa ni kitendo chochote kilichodhamiria kusababisha madhara ua hofu kubwa kwa [...]
Mambo matatu ya kufanya kujilindaa dhidi ya mhalifu anayefyatua risasi
MAMBO MATATU YAKUFANYA KUJILINDA DHIDI YA MHALIFU ANAYEFYATUA RISASI
Katika mazingira ambayo huku yatarajia, aidha benki, barabarani, uwanja wa mpi [...]
Ronaldo akaribia kuachana na kibibi cha Turini
Leo Ijumaa Cristiano Ronaldo ametumia saa moja tu katika viwanja vya mazoezi ya klabu ya Juventus kufungasha kilicho chake pamoja na kutoa mkono kwa k [...]

Faida zilizopo kwenye uhusiano kati ya Tanzania na Zambia
Tanzania na Malawi ni mataifa yenye historia kongwe katika nchi za maziwa makuu. Mataifa haya mawili bega kwa bega yalishirikiana katika harakati za u [...]
Mambo makubwa manne ya kujifunza Manara kutimkia Yanga
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametangazwa rasmi kujiunga na Klabu ya Yanga kama mhamasishaji. [...]