Bar zaidi ya 80 zafungiwa na NEMC

HomeKitaifa

Bar zaidi ya 80 zafungiwa na NEMC

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 ya mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka 2015.

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Samuel Gwamaka amesema sheria hiyo imesema maeneo ambayo yanazunguka maeneo ya Watu na kuna biashara kelele zinatakiwa kuwa 60 DBA wakati wa mchana na 40 usiku na kwamba sio mara ya kwanza kuwaonya ambao wamefungiwa.

Baadhi ya bar zilizofungiwa ni;

Boardroom
Wavuvi Camp
Kitambaa Cheupe
Warehouse
Elements
Soweto
Liquid
Chako ni Chako
Rainbow
Gentleman

 

error: Content is protected !!