Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameomba msamaha wananchi wa Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na mijadala iliyoanzishwa na mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye mtandao wa Twitter.
Hii hapa barua ya Rais Museveni.
Statement (2)_0