BASATA: hawakuomba kushiriki

HomeMichezo

BASATA: hawakuomba kushiriki

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa ufafanuzi wa kwanini wasanii kutoka lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platumz kutoonekana kwenye kipengele chochote cha kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwamba lebo hiyo haikuomba kushiriki na ndio maana hawaonekani kwenye tuzo hizo.

BASATA wameeleza kuwa kwanini msanii kama Ali Kiba hayupo kwenye kipengele cha msanii bora wa kike kuwa na yeye hakujaza fomu ya kuwepo kwenye kipengele hicho.

Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Matiko Mniko kupitia barua iliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Baraza hilo.

error: Content is protected !!