Bilioni 100 za Samia za shusha bei ya mafuta

HomeKitaifa

Bilioni 100 za Samia za shusha bei ya mafuta

Hatimaye ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kulifanyia kazi suala la mfumuko wa bei ya mafuta imekamilika kama alivyoahidi.

Kufuatia maagizo ya Rais Samia, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zimeshuka kwa Dar es Salaam, Petrol Sh.2,994, Dizeli Sh.3,131 na mafuta ya taa Sh.3299. Ni baada ya ruzuku ya Sh.100 bilioni zilizotolewa na serikali.

Revised Cap Prices wef 1st June 2022 - KISWAHILI
error: Content is protected !!