Category: Kimataifa
Rais Samia: Hongera Mama Swapo
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempongeza Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa kushinda urais na kuwa rais wa tano na rais wa kwanza mwanamke wa Namibi [...]

Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe kuchochea uchumi wa wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kunatarajiwa kuwa na mchango katika kupunguza umaskini kwa jamii [...]
Viongozi wa EAC na SADC Watangaza Maamuzi Muhimu Kuhusu Mgogoro wa DRC
Dar es Salaam, 8 Februari 2025 – Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekubaliana juu ya h [...]
Ramaphosa awasili Tanzania
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde (Mb.) amempokea Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye amewasili nchini Tanzania kushiri [...]
Tanzania yaendelea kusaidia juhudi za amani DRC
Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa Tanzania itaendelea kusaidia juhudi za kidiplomasia katika kumaliza mgogoro masha [...]

Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’
RAIS Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taas [...]
UN yahofia kundi la waasi M23 kuingia Bukavu
UMOJA wa Mataifa umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti zinazoonyesha kuwa kundi la waasi la M23 linapiga hatua kuelekea Kusini mwa Jamhuri ya Kidem [...]
Benki ya Maendeleo ya Afrika yamsifu Rais Samia kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia Afrika.
Pia, AfDB imesifu juhud [...]
Rais wa Liberia kushiriki Mkutano wa Nishati
Rais wa Jamhuri ya Liberia, Mhe. Joseph Boakai ni miongoni mwa marais wa Afrika 19 ambao wameshawasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu [...]
Afrika imepiga hatua baada ya uhuru
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema baada ya kupata uhuru mwaka 1960, Nchi za Afrika zimepiga hatua kubwa katika kuzalisha [...]