Category: Kimataifa

Rais Samia ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Fa [...]
Tanzania yapanda kimataifa uhuru wa habari
Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka [...]
Kuondolewa kwa zuio la biashara na usafirishaji wa mazao ya kilimo kati ya Tanzania na nchi za Malawi na Afrika Kusini
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo ilitangaza tarehe 23 Aprili 2025, kuzuia mazao kutoka nchi za Afrika Kusini na Malawi kuingia katika mipaka ya Tanza [...]
Dk Mpango kumuwakilisha Rais Samia mazishi ya Papa Francisco
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango anatarajiwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu [...]
Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Papa Francis
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa waumini wa Kanisa Katoliki ndani na nje ya nchi kufuat [...]
Baba Mtakatifu Francisko afariki dunia akiwa na miaka 88
Vatican – Katika siku ya Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Alifariki akiwa kati [...]
Tanzania kuiwekea vikwazo Afrika Kusini na Malawi kuhusu biashara ya bidhaa za kilimo
Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, ametangaza kuwa Tanzania itazuia uingizwaji wa mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kus [...]
Panya wa Tanzania Ronin avunja rekodi ya Panya Magawa
Panya mkubwa wa kiafrika (Cricetomys ansorgei) mwenye jina la Ronin amepata sifa ya kugundua mabomu 109 ya ardhini na vipande 15 vya ziada vya risasi [...]
ATCL kuanza safari za moja kwa moja Kinshasa
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kuanza safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC) hatua i [...]
Tanzania yashiriki Mkutano wa Mpango wa Mattei wa Afrika, Italia: Reli kuziunganisha Bahari za Atlantiki na Hindi
Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Italia na Afrika ( Matttei Plan for Africa) unatarajiwa kuboresha miundombinu ya maendeleo Afrika kwa kuunganish [...]